Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umemtaka Rais Jakaya
Kikwete kusitisha Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mjini Dodoma na
iwapo hatafanya hivyo utaongoza maandamano nchi nzima.
Umoja huo pia umeeleza kuwa kuendelea kwa Bunge
hilo ni sawa na kuvuruga mchakato wa kupata Katiba Mpya, kuiweka nchi
rehani, kufuja fedha za walipakodi, kuwahadaa Watanzania kwa kupitisha
Katiba
↧