Staa wa filamu za Kibongo asiyekaukiwa na vituko, Aunt Ezekiel (katikati) akiwa karibu na dansa wa Wasafi Classic, Moses Yobo.
******
Staa wa filamu za Kibongo asiyekaukiwa na vituko,
Aunt Ezekiel amenaswa live akijivinjari na mume wa mtu.
Aunt alinaswa akiwa na mnenguaji wa Wasafi Classic, Moses Yobo
anayepiga mzigo chini ya Nasib Abdul ‘Diamond’ katika shoo ya Fiesta
iliyofanyika
↧