Takribani wiki sasa kumekuwa na taarifa zinazoeleza kuwa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu hayuko sawa katika mahusiano yake ya kimapenzi na nguli wa Bongo Fleva, Diamond Plutnumz....
Kutokana ta taarifa hizo, Mpekuzi iliamua kupekua undani wake na ndipo ilipokutana na kilio kipya cha Wema Sepetu kuhusiana na kuzushiwa taarifa mbalimbali
↧