Mwandishi wa habari, Ephraim Kibonde jana aliachiwa kutoka Kituo
cha Polisi Oysterbay, Dar es Salaam alikokuwa akishikiliwa tangu
mwishoni mwa wiki kwa tuhuma za kusababisha ajali ya gari na kutoa lugha
ya matusi kwa askari wa usalama barabarani.
Mwanahabari huyo alikamatwa Jumamosi asubuhi kwa tuhuma za kusababisha ajali hiyo na kuendsha gari akiwa amelewa.
Kamanda wa polisi wa
↧