Wabunge wa Chadema, Said Arfi na John Shibuda wamesema hawana
hofu yoyote juu ya uamuzi utakaochukuliwa dhidi yao na uongozi wa chama
hicho kwa kitendo chao cha kuhudhuria vikao vya Bunge Maalumu la Katiba.
Wakati Shibuda na Arfi wakieleza hayo, Mbunge wa
Viti Maalumu wa chama hicho, Leticia Nyerere ameibuka na kudai kuwa
hakuwahi kushiriki katika vikao vya Bunge hilo, ila alipita
↧