LICHA ya sheria ya kunyonga kupigiwa kelele na jumuiya za kimataifa,
wajumbe wa kamati namba sita ya Bunge Maalumu la Katiba wamependekeza
iendelee kutumika nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari Mjini Dodoma jana, Mwenyekiti wa
Kamati hiyo, Steven Wassira, alisema hali hiyo ilijitokeza wakati wa
kujadili Sura ya nne ya Rasimu ya Katiba.
“Wapo baadhi ya wajumbe walitaka adhabu
↧