WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema yupo tayari kufungwa
jela kuliko kuendelea kuwavumilia watu wanaokwamisha ujenzi wa
miundombinu ya barabara kwa kukimbilia mahakamani.
Sambamba na hilo, pia amepiga marufuku uchimbaji wa mchanga pembezoni
mwa mto uliokuwa eneo la daraja la Lugalo, ikiwa ni pamoja na kuwapa
tahadhari ya kuwafungia wafanyabiashara walio karibu na eneo hilo
↧