MJADALA kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya, umeingia hatua nyingine baada ya Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Thomas Mgoli, kupigwa na kulazwa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma na wanaodhaniwa kuwa wafuasi wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Kutokana na hali hiyo, Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amewaonya wajumbe wa bunge hilo, kuacha kuhamishia mijadala baa,
↧