Lile sakata la mume
aliyetajwa kwa jina la Hamis Juma (pichani akiwa na mkewe), mkazi wa
Majohe Mji Mpya, Ilala jijini Dar kudaiwa na mkewe, Cecilia Hamis kwamba
amempa mimba mbwa yameibuka mapya.
Ijumaa iliyopita, Uwazi lilifika kwenye
ofisi za Taasisi ya Kutetea Haki za Wanyama ambapo mmoja wa maofisa
aliyedai si msemaji maalum, alisema wapo katika mchakato wa kufuatilia
madai
↧