UGONJWA wa homa ya ini umeonekana kuwa tishio kwa wananchi kuliko Ukimwi baada ya takwimu ya miezi mitatu kuonesha maambukizi yake yapo kwa wastani wa asilimia 5.6 dhidi 1.6 ya maambukizi ya Ukimwi hatua inayodhihirisha hatari ya ugonjwa huo.
Kwa mujibu wa takwimu hizo zilizotolewa na Mpango wa Taifa wa Damu Salama Tanzania (NBTS) huku ikiwataka wananchi kuchukua hatua, hali hiyo pia kwa
↧