Neno ‘elevator’ au lift liliandikwa sana baada ya Jay Z kupigwa
vibao na Solange kisa kutaka kufanya michepuko na kushindwa kumuonesha
Beyonce mapenzi ya dhati.
Hii imekuwa tofauti kwa Kanye West na Kim Kardashian ambao waliamua
kuoneshana mahaba ndani ya lift na hawakusubiri tendo lao hilo
kuvujishwa kupitia video kama ugonvi wa wenzao, wao wamejipiga selfie na
kupost mapema.
↧