Joto la ushindani kati ya wasanii wa Tanzania linazidi kupanda huku
mashabiki na vyombo vya habari wakidaiwa kuchochea kuni kwa namna moja
au nyingine.
Diamond Platinumz ambaye ndiye msanii anaekabiriwa na ushindani
mkubwa zaidi kwa sasa kwa kuwa yuko mstari wa mbele zaidi wa mafanikio
katika muziki hapa nchini na kuvuka mipaka kuiwakilisha Tanzania,
amewashauri wasanii wanaotaka
↧