Watu wanne wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wamevamia na kuwaua mume na mke na kumjeruhi mtoto mchanga mwenye umri wa miezi 4 aliyeachwa na mama yake aliyeuawa katika tukio lililotokea kijiji cha Murvyagira wilayani Ngara mkoani Kagera Ijumaa ya Agost 08,2014.
Kwa mujibu wa mtoto mkubwa wa marehemu amesema majambazi hao walivamia nyumbani kwao majira ya saa 3 usiku ambapo walitumia panga na
↧
MAUAJI YA KUTISHA: Majambazi Yaua Baba na Mama na kumjeruhi mtoto wa Miezi Minne ( Picha zinatisha)
↧