Mtuhumiwa Abdul Ghan Peer Bux.
******
Imeelezwa kwamba Wapakistani wawili, Abdul Ghan Peer Bux na Shahbaz Malk (pichani) waliokamatwa wakiwa na Watanzania wanaotuhumiwa kwa kukutwa na madawa ya kulevya wametoroka nchini.
Watuhumiwa hao walikamatwa Februari 21, 2011 wakiwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya shilingi bilioni 6.2, Mbezi Beach maeneo ya Jogoo jijini Dar sa
↧