Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Mtoto wa Mwaka mmoja Afariki Dunia baada ya kutumbukia kwenye ndoo ya maji

MTOTO wa umri wa mwaka mmoja amekufa baada ya kutumbukia kwenye ndoo ya maji nyumbani kwao, wakati akicheza.   Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Kihenya wa Kihenya, tukio hilo ni la juzi...

View Article


Gari la NaneNane Laua Wafanyabiashara 8.....Liliacha barabara likiwa na...

WATU wanane wamekufa papo hapo, wengine tisa wakijeruhiwa na kulazwa katika Hospitali ya Nyangao mkoani Lindi baada ya gari aina ya Land Rover, mali ya Halmashauri ya Mji Masasi kupata ajali katika...

View Article


Rais Kikwete aalikwa kuitembelea Malawi

Rais wa Malawi Peter Mutharika amemualika Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete kuitembelea nchi hiyo kwa ziara ya kiserikali na kutaka kumalizika kwa mgogoro wa mpaka wa ziwa...

View Article

Ndugu Watano Watembea kwa Miguu na Mikono...

FAMILIA moja ya Uturuki inawapasua kichwa wanasayansi, kutokana na wanandugu watano kutokuwa na uwezo wa kutembea kama binadamu, na badala yake wanatembea mithili ya wanyama, wakitumia miguu na...

View Article

RPC Njombe Apata Ajali.....Mlinzi wake Afariki Dunia

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Fulgence Ngonyani na dereva wake, Nuaka Seme wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Njombe ya Kibena baada ya kupata ajali ya gari iliyomuua mlinzi wa kamanda huyo,...

View Article


"Bunge lisitishwe"......Maridhiano shakani...tuendelee na chaguzi zijazo

Mwanasiasa mkongwe na mjumbe wa Halmashauri Kuu  (CCM), Dk. Raphael Chegeni ,  ameungana na wadau wengine wakiwamo wanasiasa na wanaharakati mbalimbali kutaka Bunge Maalumu la Katiba lisitishwe....

View Article

Mtu mmoja auawa kikatili kisha mwili wake kuchomwa moto Morogoro

Mtu mmoja ambaye hakuweza kufahamika mara moja ameuwawa kikatili kisha mwili wake kuchomwa moto na watu wasiofahamika  katika eneo la mkundi manispa  ya Morogoro.   Kwa mujibu wa wananchi walishuhudia...

View Article

Shibuda Ajitoa CHADEMA.....Atangaza hatagombea Ubunge kupitia chama hicho

MBUNGE wa Maswa Magharibi, John Shibuda (Chadema), amesema hatagombea ubunge kupitia Chadema katika Uchaguzi Mkuu ujao, kwa kuwa amechoshwa na kauli za vitisho na kejeli dhidi yake, zinazotolewa na...

View Article


Magazeti ya Leo Jumatatu ya tarehe 11 Agosti 2014

Magazeti  ya  Leo  Jumatatu ya  tarehe  11  Agosti  2014

View Article


Mtoto wa mwaka mmoja Abakwa jijini Arusha

Mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja tunayemtaja kwa jina moja la Devota wa Sokoni One jijini Arusha, amelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru kufuatia kubakwa na njemba moja iitwayo Rajabu...

View Article

Wassira Awapongeza UKAWA Waliorudi Bungeni

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Bw. Stephen Wassira, amewapongeza wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka Kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kwa kuamua kurudi...

View Article

Werema, Sophia Simba nusura wazichape kikaoni

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba nusura wapigane baada ya kupishana kauli wakati wa mjadala wa ndani ya Kamati Namba...

View Article

Recho atamani kurudi Shule

Msanii  wa  muziki  wa  kizazi  kipya  Recho  amesema  kuwa  pamoja  na  umaarufu  wake  anahitaji  sana  kurudi  shule  ili  aweze  kuongeza  uwezo  wake  wa  kuimba... Recho  alisema  kuwa anaamini...

View Article


Vera Sidika na Matiti FEKI

Video  Queen  maarufu  mjini  Nairobi  Kenya  hivi  majuzi  aliwashtua  watu  baada  ya  kupost  picha  ya  matiti  yake  yakiwa  yamekuwa  makubwa  kuliko  yalivyokuwa  mwanzoni  na  akasema  hivi:...

View Article

Naibu Waziri Anusurika kupigwa na Wakulima huko Simiyu

Naibu Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika,Godfrey Zambi amenusurika kupata kipigo kutoka kwa wakulima wa zao la pamba katika kijiji cha Marekano wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu kwa madai ya...

View Article


Taarifa ya Usaili ya Jeshi la Polisi Tanzania kwa wakazi wa Mbeya

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, BARAKAEL .N. MASAKI – ACP anawatangazia Wananchi wote ya kuwa orodha ya majina ya vijana waliomaliza Kidato cha Nne mwaka 2013 na cha Sita mwaka 2014 na...

View Article

Mamia ya wananchi Wafurika jijini Dar kwa Nabii anayedaiwa kuponya watu...

Nabii Samwel Mahela  wa Kanisa la Pentecostal Power Ministry (PPM) lililopo Mikocheni A (katikati mwenye suti), akitoa huduma ya maombezi katika kanisa hilo. *****  MSANII wa Filamu aliyejitambulisha...

View Article


Binti wa Kazi Amwagiwa UJI wa Moto na mke wa Bosi wake kisa Wivu wa Mapenzi

MSICHANA mmoja mkazi wa eneo la Minga katika Manispaa ya Singida (muuza duka), amenusurika kifo baada ya kumwagiwa uji wa moto na mke wa tajiri yake na kumsababishia maumivu makali kutokana na kile...

View Article

Mganga wa Jadi Aua mgonjwa wake kwa kumtandika fimbo kichwani wakati akimtibu...

Na Kadama Malunde-Shinyanga Kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la Vicent Kawawa(28) ameuawa kwa kupigwa na fimbo na kitu kizito kichwani na mganga wa kienyeji aliyekuwa anamtibu ugonjwa wa akili...

View Article

Nyani Ajipiga mamia ya Picha....Mmiliki wa Kamera iliyotumika apata wakati mgumu

Mtandao wa Wikipidia umekataa kufuta picha ambayo Nyani ilijipiga ikisema kuwa kwa sababu picha hiyo ilipigwa na Nyani ambaye ni mnyama wala sio binadamu, basi inakuwa mali ya umma. Hii ni baada ya...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>