Naibu Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika,Godfrey Zambi amenusurika kupata kipigo kutoka kwa wakulima wa zao la pamba katika kijiji cha Marekano wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu kwa madai ya kutoridhishwa na majibu aliyoyatoa juu ya mbegu za pamba zisizo na manyoya(Quton)kutoota katika msimu uliopita wa kilimo.
Tukio hilo limetokea juzi kijijini hapo wakati Naibu Waziri huyo alipofanya
↧