Mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja tunayemtaja kwa jina moja la
Devota wa Sokoni One jijini Arusha, amelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya
Mount Meru kufuatia kubakwa na njemba moja iitwayo Rajabu Mkoba (30),
mkazi wa eneo hilo.
Tukio hilo lilitokea Jumapili ya Agosti 3, mwaka huu ambapo mtuhumiwa
huyo anadaiwa kumbaka mtoto huyo kwa saa 9 na alimrejesha nyumbani kwa
mama yake
↧