Nabii Samwel Mahela wa Kanisa
la Pentecostal Power Ministry (PPM) lililopo Mikocheni A (katikati
mwenye suti), akitoa huduma ya maombezi katika kanisa hilo.
*****
MSANII wa Filamu aliyejitambulisha kwa jina moja la Jane amedai amepona ukimwi baada ya kuombewa katika Kanisa la Pentecostal Power Ministry (PPM) lililopo Mikochezi A.
Akizungumza mbele ya waumini wa kanila hilo Dar es
↧