MTOTO wa umri wa mwaka mmoja amekufa baada ya kutumbukia kwenye ndoo ya maji nyumbani kwao, wakati akicheza.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Kihenya wa Kihenya, tukio hilo ni la juzi saa 4:30 asubuhi katika eneo la Buza.
Alisema mtoto huyo, Najma Omary alikuwa akicheza nje ya nyumba yao kulikokuwa na ndoo ya maji na alitumbukia kwa kutanguliza kichwa na kunywa maji
↧