Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Video hii ya utengenezaji wa 'Anaconda' ya Nicki Minaj ingekuwa Tanzania...

Rapper wa Young Money, Nicki Minaj amepiga hatua ya pili, siku chache baada ya kutoa kionjo cha video ya wimbo wake wa ‘Anaconda’ na sasa amewaonesha mashabiki kilichojiri katika utengenezaji wa video...

View Article


Msichana wa kihindi aachana na familia yake tajiri na kuhamia kijijini kwa...

Tumezoea kuona kwenye filamu au tamthilia simulizi la msichana mrembo anaotoka katika familia ya kitajiri aliyechagua kuyaacha maisha ya raha na kuishi uswahilini  na kijana anaempenda.   Huko Kenya,...

View Article


Wahamiaji haramu 28 wakamatwa Kigoma

Idara ya uhamiaji mkoani Kigoma, imewakamata raia 26  wa Burundi na wawili kutoka kongo DRC na Rwanda, baada ya kuingia na kuishi nchini kinyume cha sheria .   Idara hiyo pia imewarejesha raia 11 wa...

View Article

CCM yawalalamikia Jaji Warioba na wajumbe wa tume yake kuhusu kauli zao kwa...

Chama cha Mapinduzi -CCM kimedai kuwa Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba Jaji Joseph  Warioba na baadhi ya wajumbe wa tume yake wamemshambulia kwa maneno Mwenyekiti wa chama hicho rais  Jakaya...

View Article

Bob Junior azungumzia tetesi za kufanyiwa fujo na mume wa msichana aliyekuwa...

Siku mbili zilizopita kumekuwa na taarifa mitaani kuwa mwimbaji ambaye pia ni producer wa Sharobaro Records, Bob Junior alifanyiwa fujo na mwanaume mmoja anaedaiwa kuwa mume wa msichana aliyekuwa...

View Article


Sherehe za Nane Nane kitaifa zinafanyika mkoani Lindi leo

Tanzania leo inaadhimisha kilele cha maonyesho ya wakulima na wafugaji nane nane ambapo kitaifa yanafanyika mkoani Lindi. Maonyesho hayo ambayo mwaka huu yamegawanywa kikanda kwa bidhaa tofauti ikiwa...

View Article

Polisi Yaanza kuchunguza Mauaji Tata ya Wanawake wawili jijini Arusha

Kamanda wa Polisi Mkoani Arusha, Liberatusi Sabas, amesema jeshi lake lipo kwenye uchunguzi dhidi ya mauaji na kujeruhi wanawake Jijini Arusha, bila kuchukuliwa kitu chochote. Amesema kwa sasa...

View Article

Ali Kiba Unfollows Everyone On His Instagram. Find Out Why

After a long silence, Cinderella hitmaker Ali Kiba has been making headlines alot lately for his beef with Diamond, his new tracks and most recently, his unfollowing spree on a social media Platform....

View Article


PHOTO: Diamond’s Controversial Interview With Ex Girlfriend Jokate Mwegelo

Even for a superstar like Diamond Platnumz, not everyday does he get to be interviewed by his ex girlfriend in front of the whole world. But then again given that he has dated quite a number of...

View Article


Mbowe: Usaliti hauna msamaha.....Said Arf atinga bungeni, Shibuda, Nyerere na...

Mjumbe wa Bunge la Katiba (Chadema) Said Arfi  akisaini karatasi ya mahudhurio bungeni jana, kabla ya kwenda  kushiriki mjadala wa kamati  yake  ********** Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema...

View Article

Mabomu Yarindima Msibani.....Jeneza Latelekezwa, Sugu awatupia Lawama Polisi

Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amelishutumu Jeshi la Polisi mkoani humo kuwa ndiyo chanzo cha vurugu baada ya juzi kutumia mabomu ya machozi kuwazuia wafuasi wa Chadema na waombolezaji...

View Article

Mwanamke Apandishwa kizimbani kwa kosa la Kumdhalilisha Hausigeli...

Mkazi wa Singida Mjini, Jacqueline Kweka (30) jana alipandishwa mahakamani mjini Hai akikabiliwa na tuhuma za kumfanyia ukatili mfanyakazi wake wa ndani (15).    Inadaiwa kuwa mtuhumiwa huyo alikuwa...

View Article

Mahekalu ya Mchungaji Lwakatare Yavunjwa jijini Dar

WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Makazi jana imebomoa nyumba nne zilizojengwa ndani ya kiwanja namba 314 zilichopo eneo la Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam zinazomilikiwa na Mchungaji Getrude Rwakatare kwa...

View Article


JWTZ Yang'ara tena Kimataifa......Yachaguliwa Kuunda Jeshi la Amani Afrika

JESHI la Wananchi Tanzania (JWTZ) limeendelea kung’ara kimataifa, ambapo jana jeshi hilo lilitamkwa kuwa miongoni mwa majeshi ya nchi za Afrika, yatakayounda Jeshi la Kulinda Amani Afrika.   Taarifa...

View Article

MAJANGA.....Baba Mzazi Amtundika Mimba Mwanawe wa kumzaaa!!

MKAZI wa Kijiji cha Bwekela wilayani Igunga mkoani Tabora, Kashinje Shima, anatafutwa na Uongozi wa kijiji hicho, kwa kumpa ujauzito mwanawe wa kumzaa mwenye umri wa miaka 17.   Ofisa Mtendaji wa...

View Article


Kibonde wa Clouds FM Atiwa Mbaroni

Mtangazani Mahiri wa Redio Clouds FM Ephrahim Kibonde akidhibitiwa na Askari wa Usalama barabarani.  *****************  Kibonde anadaiwa kusababisha ajali  leo asubuhi  eneo la Makumbusho, baada  ya...

View Article

CHADEMA kuwajadili wabunge wasaliti Waliopuuza maagizo ya chama na kwenda...

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesema kitawachukulia hatua kali wabunge wake iliyowaita kuwa ni wasaliti kwa kupuuza maagizo ya chama na kwenda kuhudhuria vikao vya Bunge Maalumu la...

View Article


Basi la 5 Aliance Lateketea kwa Moto Leo.....Hizi ni picha 3 za basi hilo...

Basi la kampuni ya 5 Aliance ambalo linafanya safari zake kati ya Mtwara na Dar es salaam limeungua   moto asubuhi ya August 09 likitokea Mtwara kuelekea Dar es salaam.  Taarifa ya awali inasema kuwa...

View Article

BIASHARA CHAFU: Mwanafunzi wa Chuo Kikuu alazimishwa Kurekodi Mkanda wa Ngono

Kweli dunia ina mambo! Kuna watu wanajaribu kutumia kila fursa inayopatikana kujinufaisha kwa kupata fedha hata ziwe ‘chafu’, kwao kitu cha maana ni kupata utajiri kwanza.   Kundi la watu wanaofanya...

View Article

Nyumba ya Mwanaume aliyekuwa AKIWALAWITI Watoto wa Kiume huko Moshi...

Wananchi wenye hasira, wameteketeza kwa moto nyumba ya mkazi wa Kijiji cha Mwika Uuwo, Wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro, wakimtuhumu kulawiti wanaume  wenzake.    Hasira za wananchi hao...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>