Mkazi wa Singida Mjini, Jacqueline Kweka (30) jana alipandishwa
mahakamani mjini Hai akikabiliwa na tuhuma za kumfanyia ukatili
mfanyakazi wake wa ndani (15).
Inadaiwa kuwa mtuhumiwa huyo alikuwa akimpiga
mfanyakazi wake huyo sehemu mbalimbali za mwili ikiwamo kumvuta nyama za
sehemu za siri kwa kutumia bisibisi.
Baada ya tuhuma hizo kuibuliwa na raia wema,
mtuhumiwa huyo
↧