WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Makazi jana imebomoa nyumba nne zilizojengwa ndani ya kiwanja namba 314 zilichopo eneo la Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam zinazomilikiwa na Mchungaji Getrude Rwakatare kwa tuhuma kuwa alivamia eneo hilo.
Kazi hiyo ya ubomoaji, ilitekelezwa chini ya ulinzi mkali wa Polisi na iliendeshwa kwa pamoja na maofisa wa Ardhi kutoka wizarani na Manispaa ya Kinondoni,
↧