Mtangazani Mahiri wa Redio Clouds FM Ephrahim Kibonde akidhibitiwa na Askari wa Usalama barabarani.
*****************
Kibonde anadaiwa kusababisha ajali leo asubuhi eneo la Makumbusho, baada ya gari aliyokuwa akiendesha kuigonga gari ya dereva mwingine kwa
nyuma. Trafiki walifika eneo la tukio na kupima ajali, Kibonde alipoona
hivyo akarudi nyuma na kuendesha gari lake kuondoka eneo
↧