MKAZI wa Kijiji cha Bwekela wilayani Igunga mkoani Tabora, Kashinje Shima, anatafutwa na Uongozi wa kijiji hicho, kwa kumpa ujauzito mwanawe wa kumzaa mwenye umri wa miaka 17.
Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Bwekela, ambaye pia ni Kaimu Ofisa Mtendaji wa Kata ya Igoweko, Robert Ruhende, alilaani kitendo kilichofanywa na mzazi wa mtoto huyo na kusisitiza kuwa sheria lazima ichukue mkondo
↧