Tanzania leo inaadhimisha kilele cha maonyesho ya wakulima na wafugaji nane nane ambapo kitaifa yanafanyika mkoani Lindi.
Maonyesho
hayo ambayo mwaka huu yamegawanywa kikanda kwa bidhaa tofauti ikiwa
Nyanda za juu kusini yatafanyika jijini Mbeya ambapo yatakua maalumu kwa
kilimo wakati Kanda ya kaskazini yatafanyika Dodoma ambapo itakua
maalumu kwa mifugo na Lindi ndipo yatapofanyika
↧