Kamanda wa Polisi Mkoani Arusha, Liberatusi Sabas, amesema jeshi lake
lipo kwenye uchunguzi dhidi ya mauaji na kujeruhi wanawake Jijini
Arusha, bila kuchukuliwa kitu chochote.
Amesema
kwa sasa kumekuwepo na matukio mawili ya kuvamiwa kwa wanawake na
kujeruhiwa kwa risasi, huku wahusika wakitokomea kusikojulikana bila
kubeba kitu chochote.
Ametaja tukio la kwanza limetokea eneo
↧