Mjumbe wa Bunge la Katiba (Chadema) Said Arfi akisaini karatasi ya
mahudhurio bungeni jana, kabla ya kwenda kushiriki mjadala wa kamati
yake
**********
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema chama chake
hakitavumilia vitendo vya usaliti na kwamba mwanachama yeyote
atakayekiuka maagizo ya chama hicho atachukuliwa hatua kali.
“Katika hili hatutakuwa na mchezo na naomba
↧
Mbowe: Usaliti hauna msamaha.....Said Arf atinga bungeni, Shibuda, Nyerere na Mwatuka Wanyimwa posho
↧