Rapper wa Young Money, Nicki Minaj amepiga hatua ya pili, siku chache
baada ya kutoa kionjo cha video ya wimbo wake wa ‘Anaconda’ na sasa
amewaonesha mashabiki kilichojiri katika utengenezaji wa video hiyo.
Video hiyo yenye dakika mbili na sekunde 47 inaonesha matukio kadhaa
ambayo ni kinyume kabisa cha maadili ya nchi yetu na kwa kuzingatia
baadhi ya video za wasanii wa Tanzania
↧