Tumezoea kuona kwenye filamu au tamthilia simulizi la msichana mrembo
anaotoka katika familia ya kitajiri aliyechagua kuyaacha maisha ya raha
na kuishi uswahilini na kijana anaempenda.
Huko Kenya, kumeripotiwa tukio halisi lililovuta hisia za wengi na
kuzungumzwa zaidi kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari,
ambapo msichana wa kihindi ameamua kuachana na familia yake tajiri
↧