Bondia Floyd Mayweather ambaye anadaiwa kutumia pesa nyingi sana kwa
maisha ya anasa ameweka wazi maisha yake ya ndani na kuonesha jinsi
anavyohudumiwa bafuni kwa kuoshwa na msichana maalum asiye mpenzi wake.
Floyd amepost picha na ujumbe Instagram akiogeshwa bafuni na mrembo mmoja na kueleza kuwa hivyo ndivyo huianz siku daima.
“This is how I get my day started everyday –MR MY
↧