Nay wa Mitego Asimilia maisha yake kabla ya kuwa Staa.....Asema alikuwa MWIZI...
Kwa mara ya kwanza staa wa Bongo Fleva, Emanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameibuka na kuuelezea upande wa pili wa maisha yake kuwa kabla hajawa mwanamuziki alikuwa mwizi balaa! Akizungumza na...
View ArticleZaidi ya nyumba 300 zavunjwa Kawe, jijini Dar es Salaam......Wananchi Walaani...
Zaidi ya kaya 300 zenye wakazi zaidi ya 100 za Kawe Tanganyika Pecus jijini Dar es salaam hazina makazi baada ya kuvamiwa na kundi la watu waliotumwa na shirika la nyumba la taifa kuvunja nyumba zao...
View ArticleRais Kikwete ajiunga na Viongozi Wengine wa Afrika katika mkutano wa Viongozi...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Ikulu ya Marekani (White House) jijini Washington DC kwa dhifa ya Kitaifa waliyoandaliwa viongozi wa Afrika na mwenyeji wao Rais...
View ArticlePicha: Binti wa Rais Kagame, Ange aiteka White House kwa Uzuri wake
Wakati ambapo marais wengi wa Afrika wameenda na wake zao kwenye mkutano na Rais Barack Obama, Rais Paul Kagame wa Rwanda amechagua kwenda na binti yake, Ange. Awali watu walidhani kuwa mke wa Rais...
View ArticleLinex Atangaza Nia Yake Ya Kugombea Ubunge Kupitia Chama Kipya Cha ACT -...
Baadhi ya Mastar wa Tanzania wameamua kuweka wazi nia zao za kugombea nafasi za uongozi katika ngazi mbalimbali,miongoni mwa watu hao kwa sasa ni msanii kutoka Kigoma All Stars aitwaye Linex Mjeda....
View ArticleUKAWA Yameguka....Wabunge Wawili wa CHADEMA Watinga Bungeni, Wengine tayari...
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni mwanachama wa CHADEMA, Leticia Nyerere (kushoto) akitoka kujaza fomu ya mahudhurio ya vikao vya Bunge hilo huku akisindikizwa na mjumbe mwenzake, Steven...
View ArticleViatu Virefu Vyamtia AIBU Maimartha.....Vyamtegua, adondoka chini
Mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse amejikuta akiteguka mguu baada ya kudondoshwa na viatu virefu alivyokuwa amevaa. Mwandishi alimshuhudia Maimartha akiwa anachechemea kwenye sherehe moja ya...
View ArticleMUKOBA achaguliwa kuwa Rais Mpya wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi ( TUCTA)
Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta), umemchagua Rais wa Chama cha Walimu (CWT), Gratian Mukoba, kuwa Rais wa shirikisho hilo katika uchaguzi uliokwenda raundi mbili, baada ya...
View ArticleRais Kikwete kukabidhiwa Katiba Mpya ifikapo Oktoba 31 mwaka huu......CCM...
Siku moja baada ya Bunge Malumu la Katiba kufanya mabadiliko ya kanuni kwa ajili ya kuwabana wajumbe wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Mwenyekiti wa Bunge hilo Samuel Sitta...
View ArticleRais Kikwete akutana na Rais wa Malawi Profesa Peter Mutharika jijini...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Malawi Profesa Peter Mutharika aliyemtembelea kumjulia hali kwenye hoteli ya Ritz Carlton katika kitongoji cha George Town jijini Washington DC,...
View ArticleRihanna anataka kununua club kubwa ya soka ya UK, amuomba ushauri Didier Drogba
Rihanna anasemekana kuwa na nia ya dhati kutaka kununua club ya soka ya Uingereza na tayari amezungumza na Didier Drogba ambaye ni rafiki yake wa karibu ili ampe ushauri. Muimbaji huyo mwenye miaka 26...
View ArticleTundaMan aeleza alichoshauriwa na Ali Kiba baada ya kupokea simu na...
Mwimbaji wa Tip Top Connection, TundaMan aliwashangaza wengi baada ya kueleza kuwa alipokea simu yenye namba nyingi asizozielewa na ghafla akapata mshtuko na kuishiwa nguvu, hali iliyomsababisha...
View ArticlePenzi la Shilole na Mziwanda laanza Upya baada ya Wawili hao kuzinguana na...
Mapenzi ya Nuh Mziwanda na Shilole yaliyoripotiwa kuvunjika hivi karibu yamerudi kwa nguvu zaidi siku ya jana ambapo wapenzi hao walisambaza picha kupitia account zao za Instagram wakiwa pamoja...
View ArticleWema Sepetu Ajichora Tattoo Mpya kumuenzi Marehemu baba yake
Staa Wema Sepetu jana ametambulisha tattoo yake mpya aliyojichora mkononi iliyoandikwa Daddy Sepetu kupitia Instagram ikiwa ni kumbukumbu ya baba yake.
View ArticleWatu 93 wakamatwa kwa kuvamia shule jijini Mbeya
Jeshi la polisi Jijini Mbeya linawashikilia wananchi wa kijiji cha Lupembe Wilayani Kyela wapatao 93 kwa kuvamia shule ya sekondari Mwingo wakiwa na silaha mbalimbali za jadi. Wananchi hao wamefanya...
View ArticleRais Kikwete: Tunakwamishwa na uzalishaji na matumizi madogo mno ya umeme
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa moja ya sababu kubwa zinazokwamisha maendeleo makubwa zaidi na ya haraka zaidi ya Afrika ni uzalishaji mdogo na...
View ArticleDiamond Platnumz Is More Than Grateful To Be Alive (See Why)
Many of us are used to complaining about every little thing in life whether good or bad. We will complain about not having a job and then complain even more when we get one. An underground artist...
View ArticleAlichokisema Anti Ezekiel baada ya kusemekana anatoka kimapenzi na dansa wa...
Mwanzoni mwa wiki hii miongoni mwa stori ambazo zilitoka na kuenea kwenye magazeti kadhaa ni pamoja na inayomhusu Anti Ezekiel kusemekana kuwa anatoka na dansa wa Diamond Platnumz. Taarifa ya awali...
View ArticleJack Wolper adaiwa kutibua Uchumba wa Nay Wa Mitego na Siwema
Mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amefungukia madai ya kutoka na msanii wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper na kudai kuwa wao ni washikaji tu ila ukaribu wao umesababisha mtifuano kati...
View ArticlePicha: Floyd Mayweather huogeshwa na msichana maalum asiye mpenzi wake, kama...
Bondia Floyd Mayweather ambaye anadaiwa kutumia pesa nyingi sana kwa maisha ya anasa ameweka wazi maisha yake ya ndani na kuonesha jinsi anavyohudumiwa bafuni kwa kuoshwa na msichana maalum asiye...
View Article