Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni mwanachama wa CHADEMA, Leticia Nyerere (kushoto) akitoka kujaza fomu ya mahudhurio ya vikao vya Bunge hilo huku akisindikizwa na mjumbe mwenzake, Steven Ngonyani
**************
Kumekucha katika Bunge Maalumu la Katiba, ambapo sasa baadhi ya wajumbe wa Bunge hilo wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wamekiuka viapo na vitisho vya
↧
UKAWA Yameguka....Wabunge Wawili wa CHADEMA Watinga Bungeni, Wengine tayari wapo Dodoma Wanajishauri
↧