Mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse amejikuta akiteguka mguu baada ya kudondoshwa na viatu virefu alivyokuwa amevaa.
Mwandishi alimshuhudia Maimartha akiwa anachechemea kwenye
sherehe moja ya kitchen party hivi karibuni huku akiwa bado amevaa viatu
virefu na alipoulizwa kulikoni anachechemea alijibu kwamba aliteguka
mguu baada ya kudondoshwa na viatu virefu.
“Nimeumia mguu
↧