Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta), umemchagua Rais wa Chama cha Walimu (CWT), Gratian Mukoba, kuwa Rais wa shirikisho hilo katika uchaguzi uliokwenda raundi mbili, baada ya raundi ya kwanza kukosa mshindi.
Katika raundi ya kwanza, kura zao zilishindwa kutimia baada ya kila mgombea kwenda chini ya nusu ya idadi ya wajumbe wa mkutano huo mkuu wa Tucta.
Katika
↧