Siku
moja baada ya Bunge Malumu la Katiba kufanya mabadiliko ya kanuni kwa
ajili ya kuwabana wajumbe wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya
Wananchi (Ukawa), Mwenyekiti wa Bunge hilo Samuel Sitta amepanga
kumkabidhi Rais Jakaya Kikwete katiba mpya inayopendekezwa ifikapo
Oktoba 31 mwaka huu.
Taarifa iliyotolewa na kusainiwa na Katibu wa Bunge Maalumu la
Katiba,Yahaya Hamis Hamad,
↧