Baadhi ya Mastar wa Tanzania wameamua kuweka wazi nia zao za kugombea
nafasi za uongozi katika ngazi mbalimbali,miongoni mwa watu hao kwa
sasa ni msanii kutoka Kigoma All Stars aitwaye Linex Mjeda.
Amekua wazi kutaja chama ambacho anategemea kugombania nafasi yake ya
ubunge aliyosema kuwa tayari ana jimbo anasubiri muda tu na chama
alichosema anategemea kugombea ni chama kipya cha ACT.
↧