Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa moja ya sababu kubwa zinazokwamisha maendeleo makubwa zaidi na ya haraka zaidi
ya Afrika ni uzalishaji mdogo na matumizi ya chini mno ya umeme.
Aidha,
Rais Kikwete amesema kuwa hali hiyo inaeleza jinsi ongezeko la
uzalishaji na matumizi ya umeme linavyoweza kuharakisha maendeleo ya
Afrika na
↧