Jeshi la polisi Jijini Mbeya linawashikilia wananchi wa kijiji cha
Lupembe Wilayani Kyela wapatao 93 kwa kuvamia shule ya sekondari Mwingo
wakiwa na silaha mbalimbali za jadi.
Wananchi
hao wamefanya uvamizi huo kwa kile kinachoelezwa kuwa walikuwa
wakiwataka walimu na wanafunzi wa shule hiyo waondoke katika eneo la
shule wanalodai kuwa ni mali ya kijiji.
Kwa mujibu wa kaimu
↧