Mwimbaji wa Tip Top Connection, TundaMan aliwashangaza wengi baada ya
kueleza kuwa alipokea simu yenye namba nyingi asizozielewa na ghafla
akapata mshtuko na kuishiwa nguvu, hali iliyomsababisha akimbizwe
hospitali ambapo alipewa matibabu.
Licha ya kuwa wataalam na mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA)
walieleza wazi kuwa kitaalam simu haiwezi kabisa kuwa chanzo cha tatizo
hilo,
↧