Rihanna anasemekana kuwa na nia ya dhati kutaka kununua club ya soka
ya Uingereza na tayari amezungumza na Didier Drogba ambaye ni rafiki
yake wa karibu ili ampe ushauri.
Muimbaji huyo mwenye miaka 26 pia amepanga kuanzisha chuo cha michezo
nchini kwao Barbados na kisha anapenda kuwa mwenyekiti ama mmiliki wa
club kubwa ya Uingereza.
Chanzo kilicho karibu na Rihanna kilidai kuwa
↧