Mapenzi
ya Nuh Mziwanda na Shilole yaliyoripotiwa kuvunjika hivi karibu yamerudi
kwa nguvu zaidi siku ya jana ambapo wapenzi hao walisambaza picha kupitia account zao za
Instagram wakiwa pamoja kama ishara ya mapenzi yao kuongezeka zaidi.
Nuh na Shilole wote waliweka picha instagram kuonyesha wamepatana na mapenzi yatadumu zaidi ya miezi kadha iliyotabiriwa.
↧