Kwa mara ya kwanza staa wa Bongo Fleva, Emanuel Elibariki ‘Nay wa
Mitego’ ameibuka na kuuelezea upande wa pili wa maisha yake kuwa kabla
hajawa mwanamuziki alikuwa mwizi balaa!
Akizungumza na mwandishi wetu
ana kwa ana jijini Dar es Salaam juzi, staa huyo alikiri kupitia katika
majanga kibao maishani mwake likiwemo la kulala katika vituo mbalimbali
vya polisi vya jijini Dar kufuatia
↧