Zaidi
ya kaya 300 zenye wakazi zaidi ya 100 za Kawe Tanganyika Pecus jijini
Dar es salaam hazina makazi baada ya kuvamiwa na kundi la watu
waliotumwa na shirika la nyumba la taifa kuvunja nyumba zao bila taarifa
zozote za kuwataka kuhama makazi hayo.
Wakazi hao wamelaani kitendo hicho na kuiomba serikali kuingilia
kati zoezi linaloendelea la kuvunjwa kwa nyumba hizo ili kuwapa muda
↧