Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika
Ikulu ya Marekani (White House) jijini Washington DC kwa dhifa ya
Kitaifa waliyoandaliwa viongozi wa Afrika na mwenyeji wao Rais Barak
Obama Julai 5, 2014.
Rais Jakaya Kikwete na viongozi wenzake wa Afrika katika mkutano wa
Viongozi wa Afrika na Marekani ambao umefunguliwa na Rais Barak Obama
katika ukumbi wa State
↧