Mwanzoni mwa wiki hii miongoni mwa stori ambazo zilitoka na kuenea
kwenye magazeti kadhaa ni pamoja na inayomhusu Anti Ezekiel kusemekana
kuwa anatoka na dansa wa Diamond Platnumz.
Taarifa ya awali ilidai kuwa mpenzi huyo wa dansa wa Diamond alienda
kufanya vurugu nyumbani kwa Anti Ezekiel,Anti Ezekiel kapatikana na
kaongelea mahusiano yake na Moses Iyobo ambaye ndiye dansa wa
↧