Interview: Linah azungumzia muziki wake, mpango wa kwenda BBA, reaction baada...
Mwimbaji wa kike aliyepiga hatua kubwa hivi karibuni na kusainiwa na kampuni ya kubwa ya Afrika Kusini NFZ, Linah alifanya mahojiano exclusively na Times Fm na kufunguka zaidi kuhusu mambo muhimu...
View ArticlePicha: Beyonce atumia 'kucha' kujibu taarifa za kutaka kuachana na Jay Z
Taarifa za maandilizi ya talaka kati ya wanandoa Jay Z na Beyonce zimendelea kuandikwa na vyombo vikubwa vya habari ambavyo huaminika sana nchini Marekani na Uingereza. Taarifa hizo zinazotolewa na...
View ArticlePicha: Christina Aguilera apiga picha akiwa UCHI kuonesha ujauzito wake
Mwimbaji Christina Aguilera meamua kupiga picha akiwa mtupu kwa ajili ya jarida la ‘V Magazine’ la mwezi huu. Katika picha hizo, mwimbaji huyo mwenye umri wa miaka 33 na mjamzito anaekaribia...
View ArticleMjumbe wa UKAWA atinga bungeni
Wakati wajumbe wa Bunge la Katiba wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakiendelea na msimamo wa kususia vikao vinavyotarajiwa kuanza leo mjini Dodoma, mmoja wa wajumbe wake jana aliripoti...
View ArticleRais Kikwete: Nitakuwa Rais wa mwisho kuongoza Tanzania masikini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa anataka na anatamani kuwa Rais wa mwisho wa Tanzania kuongoza nchi ambayo ni maskini na hivyo atatumia muda wake...
View ArticleMsichana aliyepigwa na mtoto wa Obama atoa kauli ya kushangaza
Mtoto wa rais wa kike wa Marekani, Malia Obama mwenye umri wa miaka 16 alimpiga/alimgonga kwa bahati mbaya msichana aliyefahamika kwa jina la Bridget Truskey walipokuwa katika tamasha kubwa la muziki...
View ArticleBifu la Diamond na Ali Kiba......Nay wa Mitego atamani kutembeza kipigo...
Ushindani kati ya Diamond na Ali Kiba ambao siku zote mimi nauita ‘ushindani usio rasmi’ huku wengine wakiutafsiri kama ‘beef’ umetengeneza mitazamo tofauti kati ya wadau wa muziki Tanzania. Hivi...
View ArticleBunge la Katiba Laanza tena....Hii ni HOTUBA ya Mwenyekiti Samuel Sitta...
Karibuni tena Dodoma Waheshimiwa Wajumbe wa Bunge Maalum la kutunga Katiba ya nchi yetu. Sote tuna kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu wetu kwa kuendelea kutupa uhai na afya hadi leo kutuwezesha...
View ArticleAunt Ezekiel Anusurika KUPIGWA Baada ya Kufumaniwa na Mume wa Mtu.....
Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson anadaiwa kukinukisha nyumbani kwa Wema Isaac Sepetu baada ya kunusurika kufumaniwa na mume wa mtu, Moses Peter Iyobo a.k.a Moze Iyobo ambaye ni densa wa...
View ArticleRose Mhando AMTAMANI Gwajima......Aahidiwa kujengewa Kanisa huko Dodoma
Nyota wa nyimbo za Injili nchini, Rose Muhando amesema anatamani sana kuhamia kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Mchungaji Josephat Gwajima kutokana na mahubiri yake mazuri. “Natamani...
View ArticleLaana ya Mama Yake Yamtisha Wema Sepetu
NYOTA wa Filamu za kibongo Wema Sepetu amesema kuwa katika maisha yake anajitahidi hakosani na mama yake mzazi, Mirium Sepetu ili kukwepa kupata laana ya kile ambacho anaweza...
View ArticleShemeji wa Rais Mstaafu Zanzibar ( Mansour Yussuf Himid) Apandishwa Kizimbani...
Shemeji wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Aman Abedi Karume, Mansour Yussuf Himid, anaendelea kusota rumande baada ya jana kusomewa mashtaka katika Mahakama ya Mkoa wa Vuga...
View ArticleBodaboda 100 wavamia kituo cha Polisi na kuwajeruhi Askari
Kundi la waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 100 , wamevamia kituo cha Polisi cha kata ya Kiroka wilaya ya Morogoro mkoani Morogoro na kuzusha vurugu. Hatua hiyo...
View ArticleUKATILI: Inspekta wa Polisi atiwa mbaroni kwa tuhuma za kumuua mwanaye
Kamishna Kova akiwa na RPC mpya wa Temeke, Kihenya Kihenya ************* Jeshi la Polisi linamshikilia Inspekta wake, Celestine Makene (40) kwa madai ya kumpiga hadi kumsababishia kifo mtoto wa kaka...
View ArticleAgness Masogange ahojiwa Uwanja wa Ndege Dar kwa zaidi ya masaa 10
Kikosi Kazi cha Polisi cha Kuzuia Dawa za Kulevya nchini kimemhoji kwa zaidi ya saa 10, msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ kuhusiana na tuhuma za kukamatwa na dawa aina ya crystal methamphetamine huko...
View ArticleMke na Mume Wakutwa na Madawa ya kulevya
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limewakamata watu watano wakiwa na magunia saba ya madawa ya kulevya aina ya bhangi wakiwemo mke na mume. Awali askari wa Kitengo cha Kuzuia Madawa ya Kulevya Mkoani...
View ArticleWanaodaiwa kumuua Afisa Usalama wa Taifa Wafikishwa Mahakamani leo
Watuhumiwa wakiwa wamembeba mtuhumiwa mwenzao ambaye inadaiwa kuwa ni afisa usalama wa taifa. ****** Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, leo imwapindisha kizimbani watu wanne...
View ArticleJUKATA lakemea njama za kuzima Mjadala wa Katiba Mpya
Jukwaa la katiba nchini Tanzania limesikitishwa na namna Bunge Maalumu la Katiba linavyotaka kunyamazisha sauti na mijadala ya wananchi, kuhusu kasoro zinazojitokeza katika mchakato unaoendelea wa...
View ArticleKesi ya "Mtoto wa Boksi" yabadilishiwa hakimu
Washtakiwa watatu wanaokabiliwa na mashtaka ya mauaji dhidi ya mtoto Nasra Rashid Mvungi, wamelazimika kubadilishiwa hakimu baada ya hakimu wa awali, kupata dharura na kutokuwepo mahakamanani hapo....
View ArticleJokate Mwegelo Apata Mpenzi Mpya Baada Ya Kusema Yupo Single
Muigizaji wa filamu Tanzania Jokate Mwegelo ambaye pia ni Miss Tanzania no.2 wa mwaka 2006 anaonekana tayari amepata mpenzi mpya baada ya kupost picha inayoonekana katka mtandao mmoja wa kijamii akiwa...
View Article