Kikosi Kazi cha Polisi cha Kuzuia Dawa za Kulevya nchini
kimemhoji kwa zaidi ya saa 10, msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ kuhusiana
na tuhuma za kukamatwa na dawa aina ya crystal methamphetamine huko
Afrika Kusini, Julai mwaka jana.
Kamanda wa Polisi Kitengo cha Kuzuia na Kupambana
na Dawa za Kulevya, Gedfrey Nzowa alisema jana kuwa Masogange alianza
kuhojiwa juzi usiku baada ya
↧