Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limewakamata watu watano wakiwa na
magunia saba ya madawa ya kulevya aina ya bhangi wakiwemo mke na mume.
Awali askari wa Kitengo cha Kuzuia Madawa ya Kulevya Mkoani hapa
wakiwa doria walipata taarifa toka kwa raia wema iliyoeleza kuwepo kwa
watu wanaosafirisha madawa hayo.
Mara baada ya kupata taarifa hiyo askari hao waliweka mtego maeneo ya
Sanawari
↧