Watuhumiwa wakiwa wamembeba mtuhumiwa mwenzao ambaye inadaiwa kuwa ni afisa usalama wa taifa.
******
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, leo
imwapindisha kizimbani watu wanne wanaodaiwa kumuua kwa kumpiga risasi
Ofisa Usalama wa Taifa, Sylvanus Mzeru maeneo ya Uwanja wa Ndege wa
Mwalimu Julius Nyerere, Aprili 29, mwaka huu usiku.
Watuhumiwa hao ni Mohamed
↧