Jukwaa la katiba nchini Tanzania limesikitishwa na namna Bunge Maalumu
la Katiba linavyotaka kunyamazisha sauti na mijadala ya wananchi, kuhusu
kasoro zinazojitokeza katika mchakato unaoendelea wa kutafuta katiba
mpya.
Mwenyekiti
wa Jukwaa hilo Bw. Deus Kibamba ametoa kauli hiyo katika mahojiano na
East Africa Radio jijini Dar es Salaam, ikiwa ni siku moja tangu
kuanza kwa vikao
↧